Video 3 za bongo zilizopata airtime Trace TV , August 27 2016
Nifahari kubwa kuona midundo ya nyumbani kupata airtime katika vituo vikubwa vya TV za kimataifa kama Trace TV leo August 27 2016 wasanii walioingia kwenye list hii niDiamond Platnumz,Nedy Music na Alikiba.
Mtu wangu nakusogezea video hizi na wewe ujionee, pia usisahau kuniachia comment yako hapa chini.
No comments: